TAR YA LEO NDO TAREHE ALIYO ZALIWA MTOTO ISHA... HAPPY BIRTHDAY ISHA RAMADHANI....MKURYA WA KWANZA TANZANIA KUIMBA TAARABU...
MAMAA MASHAUZI LEO ATAKATA CAKE... PALE NYUMBANI KWAKE KNONDONI MOSCO,KATUMBA ROAD...
TUMWOMBEE DUA KWA MWENYEZI MUNGU AMJALIE MAISHA MAREFU,AMUEPUSHIE MARADHI PAMOJA NA MAADUI...HAPPY BIRTHDAYISHA MASHAUZI.....
Tuesday, February 5, 2013
Tuesday, January 22, 2013
Maua tego coast ndo nyumbani
Kuna habari za mtaani zinasema? Mauwa Teggo amejitoa kimya kimya Coast Modern Taarab baada kuhitilafiana na kaka yake ambaye ni mkurugenzi wa Coast Modern Taarab, Omar Teggo..
UKWELI NI HUU
Mauwa Teggo wamesema hakuna mpasuko wowote ndani ya kundi lao kama inavyozungumzwa na watu ..lakini ukweli ni kwamba hajawahi kuondoka Coast na ataendelea kuwepo Coast kwa sababu hapo ndio nyumbani na yeye ni sehemu ya Coast Modern Taarab.
Omar Tego amekiri kusambaa kwa habari hizo kwamba yeye na dada yake wadamu Mauwa Tego kutokuelewana, hizo ni tetesi ambazo hazina ukweli wowote.
maua tego bado yupo coast modern taarabu, anapiga mzigo kama kawa kama dawa.ila kwa sasa yupo likizo kwa ajiri ya uzazi....
“Wako watu wanajaribu kupenyeza mbegu mbaya za chuki kati yetu, lakini hawatafanikiwa, tumesimama vizuri” alisema Teggo....
wenye chuki na chuki zaoooooo....
TAR 26 DAR LIVE
SNURA SEXY
TAR 26-01-2013.... JUMAMOSI HII MAUNO LIVE NDANI YA JUKWAA LA KIMATAIFA DAR LIVE MBAGARA ZAKIEMU....NA MPINZANI WAKE MKUU SHILOLE..... SIPATI PICHA CHEZEA BONGO MOVIE WEWEE
TAR 26-01-2013.... JUMAMOSI HII MAUNO LIVE NDANI YA JUKWAA LA KIMATAIFA DAR LIVE MBAGARA ZAKIEMU....NA MPINZANI WAKE MKUU SHILOLE..... SIPATI PICHA CHEZEA BONGO MOVIE WEWEE
Monday, January 21, 2013
msiba wa sharo ndo ulio tupatanisha....
baada ya mda mrefu sana, tangu wagombane na shosti yake WEMA SEPETU..... sasa SNURA anaongea na wema... msiba washaro milliionea ndo ulikua chanzo cha wao kupatana ... baada ya wema kumpigia simu.....nyimbo ya shoga yake mama sasa imetimia..USIKO KUANGALIA KIPINDI VHA NGOMANI KWENYE CHANNEL YA 218 KUPITIA KINGAMUZI CHA STARTIME...JUMAPILI HII SAA3 USIKU...
Thursday, January 10, 2013
Friday, January 4, 2013
SAFARI YA MWISHO YA SAJUKI JUMA
majaribu ni sehemu ya maisha wala hayakwepeki... tulimpenda ila mungu kampenda sana cha muhimu ni kumuombea kwa mungu ili ampunguzie adhabu ya kaburi. wameusalia mwiliwake katika mskitiki wa SHAZIRI. faya... baada ya mskitini wataenda kuupumzisha mwili wa marehemu makaburi ya KISUTU....MBELE YAKE NYUMA YETU...
Thursday, December 6, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)