Monday, January 21, 2013

msiba wa sharo ndo ulio tupatanisha....

 baada ya mda mrefu sana, tangu wagombane na shosti yake WEMA SEPETU..... sasa SNURA anaongea na wema... msiba washaro milliionea ndo ulikua chanzo cha wao kupatana ... baada ya wema  kumpigia simu.....nyimbo ya shoga yake mama sasa imetimia..USIKO KUANGALIA KIPINDI VHA NGOMANI KWENYE CHANNEL YA 218 KUPITIA KINGAMUZI CHA STARTIME...JUMAPILI HII SAA3 USIKU... 



No comments:

Post a Comment